Naomba zianze na hizi rekodi kuweka mambo sawa mtu wangu >>> Tume ya Uchaguzi NEC ilimtangaza Rais Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha Urais siku ya October 29 2015, siku nne baada ya Uchaguzi mkuu wa Tanzania kufanyika.
Wiki moja baadae akaapishwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kukabidhiwa rasmi Ikulu kuiongoza Tanzania kwa awamu ya tano.
Mengi yametokea hapo katikati, ninayo hii ripoti ya video ya dakika 2 na sekunde 40 ya BBC ilivyoichambua kazi, moto na kasi ya Rais Magufuli kazini.
https://www.youtube.com/watch?v=F2Mhd9tFQ20
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.