Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki, movies na mengine.
#AMPLIFAYA #July312015 #10 Jerry Muro anautaka Ubunge wa Kawe Dar (CCM), Yanga wamemwambia akipita mchujo ataandika barua ya kusimama kazi.
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July312015 #9 Waliojiandikisha Tanzania kwenye daftari la kupiga kura ni MILIONI 21 mpaka leo, imesema tume ya taifa ya uchaguzi
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July312015 #8 Kesho club ya Simba Tanzania inazindua rasmi maduka yatayouza bidhaa za club hiyo kama Jezi, mikoba, kalamu n.k
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July312015 #7 Ali Choki anasema hatokuja tena kuwa na band yake binafsi, kaifuta Extra bongo na sasa karudi Twanga Pepetu kabisa
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA July31 #6 Waziri wa Afya Kenya kasema wazazi wa watoto29 waliopooza baada ya kuchomwa Sindano Busia, wako huru kuishtaki serikali
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July31 #5 Tume ya taifa ya Uchaguzi Tanzania inaanza kutoa fomu kwa wanaogombea Urais 2015, kesho ni zamu ya UPDP, PLP na DP
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July31 #4 Leo Azam FC imeifunga KCCA ya Uganda 1-0 (Farid Mussa 76') itacheza fainali na Gor Mahia ya Kenya Jumapili Dsm.
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July31 #3 Angel Luballa mtoto wa mchungaji alievua taji la Miss Redds 2008, sasa ni mtangazaji wa TV show ya Celeb Africa.
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July31 #2 Dj D Ommy wa CloudsFM apokelewa South Africa kuiwakilisha Tanzania kwenye tukio la NBA All star.
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
#AMPLIFAYA #July31 #1 Producer wa 'Nitampata wapi' Tudd Thomas kavamiwa na wezi waliokua na Bajaji aliyotaka kupanda, kalazwa Muhimbili hosp
— millard ayo (@millardayo) July 31, 2015
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.