Kwenye Interview na Millard Ayo Jux alisema unaniweza ni ngoma ambayo aliiandika kutokana na mazuri anayoyatapa kwenye penzi lake jipya na M-Thailand, leo katuletea video ya ngoma yenyewe ambapo ndani Mrembo alieuza ni Shemeji yetu mwenyewe Nnayika huku location zilizohusika zikiwa ni za Indonesia na Serengeti Tanzania.
EXCLUSIVE INTERVIEW NA JUX: “UADUI, BORA NIFE KULIKO NIMWAMBIE, SIJATESEKA, HAKAI MEZA MOJA NA MIMI”