Ajali

Picha 7: Ajali ya moto iliyotokea leo March 7 Tegeta DSM

on

Leo March 7 2017 zimeripoyiwa taarifa za moto ulitokea kwenye kituo cha mafuta cha kilichopo Tegeta ambapo inaelezwa moto huo ulidumu kwa zaidi ya saa moja.

Ayo TV na millardayo.com ilipata nafasi ya kuongea na dereva wa lori liloungua kwenye kituo hicho cha mafuta  ambapo amesema chanzo cha moto huo ni nyaya za umeme zilizokanyagwa na kusanabisha moto.

>>’Nimekuja na mafuta hapa wakati tukitoa mafuta kwenye gari kuweka kwenye visima ndio alikuja mfanyakazi wa hapa pembeni yetu wakati tunaweka mafuta alikanyaga nyaya za umeme zilizokuwa chini ambazo zilisababisha moto‘;-Edwin Thomass

Ulimiss Hii ya Mwigizaji Iren Uwoya alivyoguswa na kikundi cha wa kinaMama Ubungo DSM itazame hii video hapa chini..

Soma na hizi

Tupia Comments