Premier Bet
TMDA Ad

Mix

LIVE: Salamu za Askofu Kakobe Mbele ya RC MAKONDA, ”Wanajua mimi ni Mkosoaji’

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo December 26 2018 amewakutanisha Viongozi wa Dini, Maaskofu, Wachungaji, na Manabii kutoka Makanisa yote katika Mkoa wa Dar es salaam, Unaweza kuendelea kuitaza LIVE hii nimewekea Link chini hapa.

Askofu Kakobe alisimama na kusema ”Wengi wanajua kwamba mimi ni mkosoaji lakini hawajui kuwa pia mimi ni msifiaji”

UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments