Mkali wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani Kanye Omari West ambaye amezoeleka kwa jina la Kanye West anazidi kuingia katika headlines kila kukicha mtu wangu, hii ni good news kutoka kwake, kama utakuwa unakumbuka vizuri Kanye West tayari ana brand ya viatu vyake sokoni aina ya Yeezy.
Stori za December 8 ni kuwa mkali huyo wa Hip Hop kutoka pande za Marekani ambaye ni baba wa watoto wawili North West na Saint West aliyezaa na Kim Kardashian ameingia katika headlines baada ya kutoa viatu vyake vya soka akishikiana na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS, viatu vya soka vya Kanye West vinaitwa Adidas Yeezy Ace.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.