Habari za Mastaa

Dj Khaled aliziruhusu camera mpaka ndani kwake na kuwaonyesha chumba chake cha viatu..+ (Video)

on

Kwa wenzetu wa Marekani ni jambo la kawaida kwa wasanii kuonyesha mali walizonazo… wengine huziruhusu camera majumbani mwao na kuzipeleka chumba baada ya chumba, wengine hupenda kuonyesha magari yao huku wengine hupenda kuonyesha mikufu yao ya thamani… lakini vipi kuhusu DJ Khaled?

com.2

Dj, Producer na Rapper, DJ Khaled ni miongoni wa mastaa ambao miezi michache iliyopita aliziruhusu camera za mtandao wa Complex kumtembelea nyumbani kwake Miami kwa ajili ya kutengeneza kipindi kiitwacho ‘Complex Sessions’ na ndani ya kipindi hicho, DJ Khaled alizitembeza camera za Complex kwenye chumba chake cha viatu.

com.3

Unahisi DJ Khaled atakuwa na pair ngapi za viatu, na ni viatu vya aina gani? Majibu yote yapo hapa chini kwenye hizi dakika 12.

Kibongo bongo unahisi ni msanii gani atakuwa anaoongoza kwa kuwa na pair nyingi kama hizi za Jordan, Nike na nyingine?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments