Muigizaji Wema Sepetu ameshindwa kuvumilia comment za matusi za mashabiki amabazo wanakuwa wakimtukana kwenye mitadao ya kijamii ambapo ameamua kuandika yake ya moyoni kuhusu comment hizo za matusi za mashabiki kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Wema ameandika kuwa….>>>“Naona mmeshanikariri hua nakaa kimya pale ninapo ona comment ya matusi… nimepuuzia kwa muda mrefu mno… ila tukumbuke kuwa na mimi nina moyo, una nyama, tena ni binadam kama nyie tu…”
“Kama vile usivyopenda kuona mtu anakukebehi basi ndo hivyo hivyo navyo feel… kwani lazima matusi…??Hakuna asiejua matusi kwenye ulimwengu huu… Tena midomo michafu haswaaa ila tunajitahidi kujistiri…”
“Hakuna kitu kinachonikera kama kutukana on Social media but Yooooo if ikihitajika I WILL… Iam very Reserved wen it comes to kubishana na stupid comments on Social media But y’all get a lil too much… Navumilia mengi mno jamani… 😔
“If unaona kitu kinakukera au kinakuboa mtu kapost kwani lazima ku-comment…Pita zako and reserve your comment…. Kwani lazima kucomment… ??????????Tena MATUSI … “
“Sometimes mtu anaweza kupush ur buttons to the extent… Wen it comes to me nina EXTENTS zangu… And u dont go there… .Navumilia vingi sana…. Vingi mnoooo jamani… Vingi kweli kweli… Try putting yourselves in my shoes for a minute… And see if they fit…”
“Ukipost kitu chako kuna ile mijitu iliotapikwa inakuja na maneno yao ya chooni utasema imetumwa… Kwani mashindano…?? Y’all can be very provocative at times.Tukumbushane tu… Hata mimi ni Binadam kama nyinyi… Nina Moyo, wa Nyama na sio Chuma… Blood runs through my veins…. And I feel pain, Hurt, Sorrow & Grief..Tusijisahau sana basi…. 😔😔😔”
Wastara Kazungumza kinachompeleka Sweden usiku wa leo
Miaka 14 mingi sana naamini watarudi kwenye enzi zao -Wema Sepetu