Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ameagiza wahusika wote waliohusika kuhujumu mradi wa maji wa Ntomoko katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wenye gharama ya Shilingi za kitanzania Bilion 3 kuchukuliwa hatua za kisheria baada kutuhumiwa kuchukua pesa za Serikali na kushindwa kukamilisha kazi.
Mhadhiri wa UDOM alivyonaswa LIVE kitandani akitaka rushwa ya ngono