Michezo

Full Time: Kenya 3 – 2 Tanzania

on

Ni game nyingine ambayo ilikua ikisubiriwa sana na Watanzania ikiwa ni game ya pili kwa Tanzania kwenye mashindano ya AFCON 2019 yanayoendelea Nchini Misri ambapo mpaka game inaisha Kenya imeibuka na ushindi wa goli tatu huku Tanzania ikiondoka na goli mbili.

Magoli ya Kenya yamefungwa na Olunga 39’ 80’ na Omolo 62’) wakati magoli ya Tanzania yakifungwa na Simon Msuva 6’ na Mbwana Samatta kwenye dakika ya 40.

.

Soma na hizi

Tupia Comments