Nyumba/ Mijumba

PICHA 9: Nyumba zinazozunguka na kubadili muonekano kulingana na hali ya hewa

on

Wabunifu wa majengo duniani wameendeleea kubuni nyumba za nguvu time hii wamekuja na hizi ambazo zinaweza kuzunguka kufuata mwanga wa jua na hata nyingine kubadili muonekano wake.

Australia

Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

Mexico

Germany

Nyumba ya Dynamic D*Haus ambayo ipo Ujerumani ina uwezo wa kubadili muonekano

Unaweza kubonyeza hapa chini kutazama

Germany

ULIKOSA? Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7? Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments