Video Mpya

VideoMPYA: AY ft Victoria Kimani & Dj Mekzy “LOVING YOU”

on

Msanii wa Bongo Fleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tumemzoea kwa jina la AY ameamua kuachia video ya ngoma yake mpya inaitwa “Loving You”, katika wimbo huo AY amewashirikisha mrembo Victoria Kimani kutoka +254 Kenya na DJ Mekzy BONYEZA PLAY kuitazama.

IRENE UWOYA “Mimi na Dogo Janja tumeshindwana, nina mtu wangu akiowa nitaenda”

Soma na hizi

Tupia Comments