Kuendelezwa kwa fukwe ya Coco Beach DSM Manispaa ya Kinondoni leo imemkabidhi Mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi huo ambao utachukua miezi sita na utagharimu Bilioni 13.6 eneo hilo lina ukubwa wa Kilometer 5.
Akikabidhi eneo hilo Meya wa Kinondoni Benjamini Sitta ameelezea mpango mzima wa ujenzi.