Mwishoni mwa wiki iliyopita ilisambaa vitendo mitandaoni ikimuonyesha mtoto Mussa ambaye ni mkazi wa Geza Ulole Kigamboni, ambaye ni Mlemavu wa Miguu akiwa anatumia magongo kuelekea shule.
Video hiyo ilionekana kuwagusa watu wengi, ambao walitaka kumsaidia Mussa anayetembea kwa takribani Kilomita 12 kwa siku kuelekea shule, ambapo pia Ayo TV tulipata bahati ya kuzungumza na kijana huyo.
BABA ALIA KWA UCHUNGU AKIAGANA NA MWANAE UKRAINE, AKUBALI KUPAMBANA NA URUSI ‘KWAHERI MWANANGU’