AyoTV

Nimeipata video yenye magoli yote ya Yanga vs APR ya Rwanda, Full Time 2-1

on

March 12 Yanga ilicheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda na Yanga kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 katika uwanja wa Amahoro Kigali Rwanda.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments