Star mwimbaji wa single ya Two of Them, mrembo Victoria Kimani kutoka 254 Kenya ameiachia albam yake mpya “SAFARI” iliyotoka chini ya lebel ya Chocolate City, albam hii ina jumla ya single 15 ambazo amewapa collabo mastaa mbalimbali wakiwemo Ice Price Zamani, Sarkodie, Khuli Chana, Jesse Jagz, Donald, Phyno na King Kaka.
Inaweza kuidownload FULL ALBUM kwa kuingia hapa >>> iTunes
Tracklist:
1. Nina Simone (Intro) – Victoria Kimani
2. Safari – Victoria Kimani
3. My Money – Victoria Kimani DOWNLOAD
4. For You (feat. Ice Prince) – Victoria Kimani DOWNLOAD
5. March Along – Victoria Kimani
6. Brenda Fassie (Interlude) – Victoria Kimani
7. That’s Okay – Victoria Kimani
8. Black Girl (feat. Jesse Jagz) – Victoria Kimani DOWNLOAD
9. Giving You (feat. Sarkodie) – Victoria Kimani DOWNLOAD
10. Fade Away (feat. Donald) – Victoria Kimani
11. All the Way (feat. Khuli Chana) – Victoria Kimani DOWNLOAD
12. Lover (feat. Phyno) – Victoria Kimani DOWNLOAD
13. On My D (feat. King Kaka) – Victoria Kimani
VIDEO: Ukiwauliza Sauti Sol leo ni wasanii gani kutoka Tanzania wamebakia kufanya nao collabo watakutajia majina haya hapa, Bonyeza Play hapa chini.