Ni Uongozi wa King’s Music ambapo leo April 15, 2020 wamezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kujiondoa kwa Cheed na Killy unaweza ukabonyeza play kumsikiliza meneja Aidan Charlie akifunguka mwanzo mwisho.
ALIKIBA ANAFUNGUKA LIVE KUHUSU HAMISA “MKE WANGU ALIPATA WIVU ALIPOONA HII VIDEO”