AyoTV

Mtu anavyoweza kupata ugonjwa wa Ini kupitia Salon

on

Tumekuwa tukienda salon kwa ajili ya kunyoa nywele lakini inawezekana tulikuwa hatufahamu kuwa kama taratibu za kiafya zisipofuatwa inaweza kusababisha mtu kuambukizwa homa ya Ini.

Ayo TV na millardayo.com zinaye Mtaalamu wa Dawa na Tiba, Dr. Sajjad Fazel kwenye huu ufafanuzi ambapo.

>>>”Virusi hivi hufanya Ini lisifanye kazi na baadaye kusababisha Saratani, na moja ya dalili za homa ya Ini ni macho na kucha kuwa na rangi ya njano.” – Dr. Sajjad Fazel.

ULIPITWA? UTAFITI umeonesha 50% ya watoto wa Tanzania hawanyonyeshwi vizuri…tazama kwenye video hii hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments