Top Stories

“Rais Magufuli amenituma niwaeleze kwamba hataongeza hata dakika tano”-Polepole

on

August 16, 2019 Katibu wa Itikadi na unenezi wa Chama cha mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema kuwa ametumwa na Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dr. John Magufuli awaeleze watanzania wote kuwa hayupo tayari kuendelea kuongoza nchi mara baada ya muda wake wa uongozi kufika kikomo kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakitaka iwe hivyo.

Polepole amezungumza hayo akiwa mkoani Dodoma wakati akizungumza na baraza kuu la umoja wa wanawake wa chama hicho (UWT) ambapo amewataka wanachama hao kuacha kuendeleza mjadala huo ambao tayari Mwenyekiti wao amekwisha ufunga rasmi.

MBUNGE CCM AJITOA MUANGA MBELE YA RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments