Kuna mashindano mengine ni vichekesho tu, pata picha mnashindana kupigana mabusu na mshindi anaahidiwa pesa ya nguvu kabisa eti !!
Shindano limefanyika May 01 2015 katika Jimbo la Yunnan, China… mtu na mpenzi wake walioshinda walipata zawadi ya pesa ambazo ni sawa na kama Tshs. 800,000/=
Pichaz na video nilizipata mtu wangu.
Unaambiwa Shindano lilikuwa ni dakika moja tu, mtu na mpenzi wake wanapigana mabusu kwa pozi mbalimbali na watakaovutia zaidi kwa mapozi yao basi hao ndio washindi.
Kipande cha video hiki hapa pia mtu wangu, hii lilifanyika mwaka 2014 siku ya wapendanao China.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos