AyoTV

MAHAKAMA KUU kuhusu wale Wabunge 8 wa CUF

on

Mahakama Kuu ya Tanzania imesema haioni haja ya kutoa amri ya muda katika maombi ya kesi ya wabunge 8 na madiwani wawili waliovuliwa Uanachama na Profesa Ibrahim Lipumba.

Jaji Lugano Mwandambo ambaye ametoa uamuzi huo amesema Mahakama haioni tishio lolote litakalotokea kuanzia jana hadi siku ya uamuzi wa pingamizi la awali (August 25, 2017) katika maombi ya zuio la Wabunge waliovuliwa Uanachama ambao walitaka hali ibaki kama ilivyo ndani ya Chama hicho.

TAZAMA KWENYE VIDEO HII KUNA KILA KITU!!!

PROF. LIPUMBA TENA: Ni kuhusu Wabunge wapya walioteuliwa…tazama kwenye hii video hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments