Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya stori ni hii kwenye gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Anyang’anywa U-DC sekunde ya mwisho Ikulu’
#NIPASHE Emile Ntakamulenga ataarifiwa sekunde ya mwisho ya kula kiapo kuwa uteuzi wake wa U-DC ulitangazwa kimakosa pic.twitter.com/XvJt1gxkDY
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
Gazeti la hilo limeripoti kuwa aliyekuwa mteule wa ukuu wa wilaya, Emile Ntakamulenga alipata taarifa sekunde za mwisho kabla ya kula kiapo cha maadili cha kutumikia wadhifa wa mkuu wa wilaya ya Serengeti, kuwa uteuzi wake ulitangazwa kimakosa.
Gazeti hilo limesema kuwa baada ya kukabidhiwa nakala za viapo kila mmoja akiwemo Ntakamulenga, sekunde chache kabla ya kuapa na kusaini viapo hivyo, ndipo zilipokuja taarifa mbaya kwa mteule huyo .
Nipashe limeendelea kueleza kuwa wakati kukiwa na utulivu wa hali ya juu kwenye ukumbi huo , ndipo kamishna wa tume ya maadili ya utumishi wa umma, Jaji mstaafu Salome Kaganda, alipotangaza kwamba kuna marekebisho ya wateule ambayo yamefanyika.
Jaji Kaganda alisema katika uteuzi huo jina la Ntakamulenga liliingia kimakosa hivyo nafasi yake imechukuliwa na Nurdin Hassan Babu ambaye kwenye orodha iliyotolewa na Ikulu June 26 2016 hakuwepo.
Unaweza kuzipitia hapa chini habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya leo June 30 2016
#MTANZANIA Bilionea aiibia TRA mil 7 kila dakika, Rais Magufuli asema amenaswa, amewekwa sehemu salama pic.twitter.com/hfBD4km2wv
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE Lissu aswekwa ndani baada ya kuhojiwa na polisi kwa saa tatu na anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo pic.twitter.com/jQb4zBzvCH
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE JPM atoa wito kwa wanasheria, wachumi kuhakikisha mikataba gesi ya Helium iliyogunduliwa inanufaisha Taifa pic.twitter.com/gwPPoEc7w9
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE Emile Ntakamulenga ataarifiwa sekunde ya mwisho ya kula kiapo kuwa uteuzi wake wa U-DC ulitangazwa kimakosa pic.twitter.com/XvJt1gxkDY
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE JPM awaagiza ma-DC kuwakamata watu wanaotaka kukwamisha utekelezaji wa ahadi zake kwenye maeneo yao pic.twitter.com/KBMcKQQ0GO
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE January hadi May 2016 TRA imepoteza bil 133 kutokana na wafanyabiashara kuingiza mitumba bila kulipa ushuru pic.twitter.com/JRCEadxg9L
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE Wafuasi 99 wa CUF Z'bar wamewekwa rumande kwa madai ya kuhusika na vitendo vya uhalifu na uchochezi pic.twitter.com/iL5w4B7eQ1
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#NIPASHE Serikali yafuta wiki ya elimu, Bil 1.2 zilizotengwa kuboresha shule kongwe za sekondari nchini pic.twitter.com/B9lj86Bsbu
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#MTANZANIA Muhimbili kuanza huduma ya upasuaji wa kupandikiza sikio kwa watoto waliosumbuliwa na tatizo la usikivu pic.twitter.com/CMXB3KbCVf
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#MTANZANIA Siku moja baada ya kufunga ndoa na kuzua gumzo kijijini, ashambuliwa na siafu mpaka kufa huko Rungwe. pic.twitter.com/lybhlafM2z
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#MTANZANIA Polisi Tanga waua watu watatu wanaodaiwa kuwa ni majambazi waliohusika ktk tukio la kuchinja watu wanane pic.twitter.com/B4d4lDIfes
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#MTANZANIA Wabunge CCM wakataa mapendekezo karibu yote ya muswada wa marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma 2016 pic.twitter.com/thPHQ7NEz3
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#MWANANCHI JPM asema hakuna atakayeshikilia vyeo viwili kwa wakati mmoja baada ya kumteua kimakosa mbunge kuwa DC pic.twitter.com/Roudo3VwM7

#MWANANCHI Msigwa sasa aja na hoja kumwondoa Naibu Spika, adai muswada wa sheria ya fedha 2016/17 haukufuata kanuni pic.twitter.com/CFJWDZIlXx
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
#MWANANCHI Polisi TMK inawashikilia watu 40 kwa tuhuma za kutovaa kofia ngumu wakati wakisafiri kwa pikipiki pic.twitter.com/vKjmA9R5eG
— millardayo (@millardayo) June 30, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI W
A MAGAZETI JUNE 30 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE