Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini
Moja ya story kubwa June 02 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘watakaogonga mabasi ya Udart faini 300,000‘
Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa madereva wa magari, bodaboda na bajaji wanaovunja sheria na kuyasababisha ajali ya mabasi ya haraka watatozwa faini isiyopungua sh 300,000.
Gazeti hilo limezungumza meneja uhusiano wa Dart, William Gatambi ambaye amesema wamewasilisha maoni ya kupitishiwa sheria ndogondogo kwa ajili ya barabara zinazotumiwa na mabasi hayo katika wizara husika kwa ajili ya kufanyiwa kazi
#MWANANCHI Madereva magari, bodaboda, bajaji wanaovunja sheria na kusababisha ajali ya Mabasi ya Udart faini 300,000 pic.twitter.com/HxqGY2lVb5
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#MWANANCHI Ukatili uliofanywa na watu wasiojulikana kuwachinja watu wanane Tanga umesababisha wakazi kuyahama makazi pic.twitter.com/GmRuOOfdbZ
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#MWANANCHI Mama ajifungua Mtoto Amana na kudaiwa kuwa kichanga chake kimefariki, imemchukua siku 12 kupata maiti pic.twitter.com/Jq5mchDYAJ
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#NIPASHE EU yapendekeza sheria ya uchaguzi iruhusu vyama kuunda, kusajili umoja na kuwa na wagombea wa pamoja pic.twitter.com/zAdP6Yftyk
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#NIPASHE Juhudi za CUF kutaka kufanya mkutano wa hadhara Z'bar zimegonga mwamba baada ya polisi kuzuia mkutano huo pic.twitter.com/8rXRv1AkPZ
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#JamboLEO JPM asema uamuzi wa wizara ya elimu kuwaondoa wanafunzi 7802 UDOM ni sahihi kutokana na baadhi kukosa sifa pic.twitter.com/22hYr6A9rl
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#JamboLEO Utafiti umebaini wanaume wenye viuno vikubwa wako hatarini kuugua saratani ya tezi dume pic.twitter.com/1RXSV81eO2
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#MWANANCHI EU imetenga bil 432 kwa ajili ya kuisaidia Serikali katika usambazaji wa nishati nchini pic.twitter.com/Ytr3LWq1M0
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#MWANANCHI Serikali kuwasilisha muswada wa sheria ya Vicoba ktk mkutano ujao wa Bunge ili vitambuliwe nchini pic.twitter.com/JgXM2Um8Gk
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#NIPASHE Mwanamke Pakstan, ambaye aliunguzwa moto kwa kukataa kuolewa, amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata pic.twitter.com/Vy4qwUSFwh
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#NIPASHE Ripoti ya IMS Health Holding imeeleza, gharama ya dawa za saratani duniani kuzidi dola bil 150 mwaka 2020 pic.twitter.com/0AwLkyyJ36
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#MTANZANIA Serikali imesema ucheleweshaji mikopo ya wanafunzi unatokana na uhakiki baada ya kubainika wanafunzi hewa pic.twitter.com/kG6V8JRNk2
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#TanzaniaDAIMA Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga hajaonekana bungeni tangu alipovuliwa uwaziri pic.twitter.com/el4qakvJoL
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
#TanzaniaDAIMA Spika wa Bunge, Job Ndugai amekwenda nchini India kuchunguzwa maendeleo ya afya yake pic.twitter.com/5iy9xir7v6
— millardayo (@millardayo) June 3, 2016
ULIIKOSA HII YA KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU WATU WANAOTUMIA BARABARA YA MABASI YAENDAYO HARAKA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE