Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari ‘Kitwanga: Yaliyotokea namwachia Mungu, asema amerudi na nguvu mpya, kutua bungeni wiki ijayo’
#MTANZANIA Kitwanga asema yuko imara na amerejea nchini akiwa na nguvu mpya, ajipanga kufanya kazi usiku na mchana pic.twitter.com/r1q2BQozhf
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
Gazeti la Mtanzania limeripoti kuwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Charles Kitwanga amesema yupo imara na amerejea nchini akiwa na matumaini mapya, pamoja na hali hiyo, amesema kuwa hivi sasa anajipanga kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha anasaidia nchi pamoja na wapiga kura wake na maendeleo ya kweli.
Kauli hizo alizitoa Dar es salaam jana alipozungumza na Gazeti la Mtanzania katika mahojiano maalumu baada ya kurejea akitokea nchini Israel ambako alikwenda kwa shughuli zke binafsi, Gazeti hilo limemnukuu akizungumza haya………
>>>’niko imara kabisa na nina nguvu na matumaini mapya, nimeingia nchini juzi nikitokea nchini Israel ambako nilikuwa na shughuli zangu binafsi, unajua mimi ni mtaalamu (wa mawasiliano) na wewe unajua kabla sijaingia kwenye siasa nilikuwa nafanya nini’.
>>>’kifupi nasema nilikwenda Israel kwa shughuli zangu binafsi kabisa ambazo kwa kipindi cha wiki tatu nilizokuwa huko nimefanya. hata wanaosema nilikwenda kulia kwa Bwana nao ni mawazo yao, maana unajua ile ni nchi takatifu kutokana na historia yake’.
Unaweza kuzipitia hapa chini habari zingine kubwa kwenye magazeti ya Tanzania
#MTANZANIA Mahakama Kisutu imempandisha kizimbani Leonard Kyaruzi kwa kumtukana na kumdhalilisha Rais Magufuli pic.twitter.com/IG2HxkvuaN
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MTANZANIA Wazee wanawake na wanaume wanaolelewa kituo cha wazee na wasiojiweza Kiilima Bukoba wanalala pamoja. pic.twitter.com/2nKdMoXhSV
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MTANZANIA Waziri Mpango afuta utaratibu alioupendekeza wa taasisi za dini kulipa kodi kwa bidhaa watakazonunua pic.twitter.com/ACaemr3Wx6
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MTANZANIA Wabunge CCM wasema mikakati mipya ya UKAWA kuwasusia hata ktk salamu ni utoto na hiyo si siasa ni uadui. pic.twitter.com/n59OXDqo9s
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#NIPASHE SSRA kuzindua fao la huduma za malipo ya kiinua mgongo na pensheni ktk sekta isiyo rasmi wakiwemo bodaboda pic.twitter.com/gMMbU6Eva8
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#NIPASHE Nguo za mitumba zilizo chini ya kiwango kuanza kukamatwa kuanzia Julai Mosi mwaka huu. pic.twitter.com/5UsEkI8lvp
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#NIPASHE Serikali yasema itasimamia sheria kulinda haki za wafanyakazi kwani kupata ulemavu si sababu ya kufukuzwa pic.twitter.com/iKnTSVbr8E
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MWANANCHI Mhariri Dira afikishwa mahakamani kujibu shtaka la kutoa taarifa za uongo na kusababisha hofu ktk jamii pic.twitter.com/os3fTo8S5x
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MWANANCHI Serikali kuanzisha chombo maalum kudhibiti gharama za bei zinazotozwa na vituo vya huduma za afya pic.twitter.com/gOae4N2QbF
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MWANANCHI Hatima kesi ya mauaji ya Mwangosi leo, ni baada ya upande wa utetezi na mashtaka kumaliza kutoa ushahidi pic.twitter.com/85Y2jRn3HO
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#HabariLEO Uamuzi wa kuwakata kodi viongozi akiwemo Rais Magufuli umepongezwa na wasomi, wakieleza unaleta usawa pic.twitter.com/3YeTWQZ3Vh
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#HabariLEO Serikali kujenga vituo vya afya 181 kila mwaka nchi nzima kukabiliana na upungufu wa vituo hivyo nchini pic.twitter.com/wvdP1xJi9h
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#HabariLEO Wakopaji nyumba za serikali ambao hawajamaliza kulipa madeni yao kwa wakati wameanza kushughulikiwa pic.twitter.com/nAnBkWWHkZ
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MWANANCHI CHADEMA yafungua upya kesi dhidi ya polisi baada ya marekebisho, ni ya kupinga kuzuia maandamano pic.twitter.com/3BroemJBJe
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MWANANCHI Watanzania 28% ni maskini wenye kipato kisichotabirika, uogopa benki wakiamini ni kwa ajili ya matajiri pic.twitter.com/AViIwJAtbZ
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MAJIRA Polisi Ilala kutumia nguvu kuwaondoa machinga waliopo katikati ya jiji waliokaidi agizo la manispaa pic.twitter.com/DbAfMd6uV8
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#MAJIRA Serikali yasema sera ya kutoa dawa kwa wagonjwa wa kifua kikuu, UKIMWI wajawazito, wazee, watoto inaendelea pic.twitter.com/nBDSUlp6fn
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#JamboLEO Wabunge wahoji uamuzi wa kumwachia huru aliyemtukana Rais Magufuli aende kutafuta faini na kuchangiwa pic.twitter.com/kDAt9dcSSN
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
#NIPASHE Serikali yamtaka mzalishaji sukari KK kuondoa sokoni kwani
haifai ina vikolezo vilivyozidi utamu wa asili pic.twitter.com/MNJPAYbtBo
— millardayo (@millardayo) June 22, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 22 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINIW
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE