Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata zaidi ya Kilo 300 za dawa za kulevya aina ya Mirungi iliyokuwa ikiingizwa nchini na kusafirishwa nje kupitia posta kwa majina ya Mronge, Moringa tea, majani ya mboga, majani ya chai.
”JKT MAZONGE NIMEKUTA UCHAFU UCHAFU, NIMEPIGA CHINI WOTE” RC KIGOMA