Maajabu

Mashine za EFD hazifanyi kazi nchi nzima, Serikali yakiri

on

Leo May 30, 2018 akijibu mwongozo wa Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa Naibu waziri wa Fedha na mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amekiri kushughulikia tatizo la mashine za kielektroniki za kutoa risiti ‘EFD’ ambazo zimekuwa hazifanyi kazi tangu May 11 2018.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa bungeni Dodoma

BILIONI 5 wateja wameziacha M-Pesa, kama uliacha Muamala unaweza kupatiwa yako

Soma na hizi

Tupia Comments