AyoTV

VIDEO: Walichokiongea mzee Mkapa, Makinda, Warioba na wengine kwenye Kongamano la Mwalim Nyerere

on

Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa alikuwa mmoja waliowasilisha mada kwenye Kongamano Maalumu la Maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.

Katika Komngamano hilo lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, walikuwepo pia viongozi mbalimbali wastaafu wakiwemo Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mama Anna Makinda na Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba.

Bonyeza play kutazama…

Part I

Part II

Part III

Part IV

Soma na hizi

Tupia Comments