AyoTV

VIDEO:Waziri Mwakyembe kuhusu Mbunge Nassari kuingia bungeni akiwa amelewa

on

April 20, 2017 Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe alimemtuhumu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa tukio la kuingia bungeni akiwa amekunywa pombe na kutaka kuingia na chupa ya bia aina ya konyagi.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Hatukubali udhalilishaji unaofanywa kwa walimu”-Doto Biteko 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments