June 8 2016 Serikali kupitia Wizara ya fedha na mipango imewasilisha bungeni Dodoma mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Jukumu la kuwasilisha limefanywa na Waziri Philip Mpango.
Waziri Mpango amesema..>>>’Kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2016/2017 Serikali inapanga kutumia jumla ya shilingi trilioni 29.54 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo‘
ULIIKOSA HII? TRILION 11.8 ZIMETNGWA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO, VIPAUMBELE VIMETAJWA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE