Pichaz kutoka Dar es Salaam kwenye Fainali ya Kinondoni Talent Search, Rais JK Mgeni Rasmi..
Share
3 Min Read
SHARE
Safari ya Vijana ambao waliamua kufungua milango kuelekea ndoto zao, kutumia vipaji vyao ili viwe ajira kupitia Mchakato wa Kinondoni Talent Search, usiku wa August 15 2015 tayari imefikia hatua ya Fainali.
Wazo la Kinondoni Talent Search lilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda na vijana ambao waliiona hii nafasi walijitokeza kwa wingi kushiriki, ukapita mchujo mpaka kupatikana wachache ambao wamegusa stage ya fainali.
Washindi wa kudance, kuimba na kuchekesha tayari wamepatikana na hapa ninaanza kukusogezea pichaz mwanzo mwisho ilivyokuwa kwenye Fainali hizo.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> TwitterInstaFBna nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos