Leo March 22,2019 nakusogezea nyingine ya kuitazama kutokea Jamaica, kutana na kundi la Morgan Heritage wakiwa wamemshirikisha Patoranking kutokea nchini Nigeria na kuiletza ‘Pay Attention‘, ili kuburudika na ngoma hiyo bonyeza PLAY hapa chini.
VIDEO: MC PILIPILI “SIKUWAI KUPATA MZURI KAMA HUYU, NIMEZOEA KUZINGULIWA SITAKI TENA MAHUSIANO? NI SHETANI”