Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI JPM akataa shule ya msingi iliyojengwa bunju kuitwa kwa jina lake badala yake ameagizwa iitwe jina la DC K'ndoni, Ally Hapi pic.twitter.com/mIPtcHrSS1
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#MWANANCHI Hatimaye mahakama kuu Arusha imemruhusu Lema kuongezewa muda wa siku 10 kukata rufaa ya kuomba dhamana ktk kesi inayomkabili pic.twitter.com/rHvbrDS0yW
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#MWANANCHI Mabadiliko yaliyotingisha watumishi wa umma 2016
1.Safari za nje
2.Posho
3.Ziara za kushtukiza
4.Uhakiki vyeti
5Wafanyakazi hewa pic.twitter.com/Ob0ktiOyQV
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#MTANZANIA Mahakama Tanga imemhukumu jela miaka 35 na kulipa faini ya bil 3.7 Charles Kijangwa kwa kujihusisha na biashara ya meno ya Tembo pic.twitter.com/pLL6bn5Dfr
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#MTANZANIA Imeelezwa kuwa madereva wengi wa mabasi ya mikoani wanayaendesha bila kuwa na leseni hali inayotishia usalama wa abiria pic.twitter.com/BuCpJRrpYl
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#NIPASHE Askofu 'mpiga dili' akamatwa, alijifanya mkatoliki yuko Ulaya akichangisha fedha kwa ajili ya makongamano kumbe maskani yake Temeke pic.twitter.com/kwbDPxoxHj
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#NIPASHE 90% ya watoto wachanga wanaozaliwa na baadaye kutelekezwa ktk maeneo mbalimbali K'njaro wanadaiwa kuambukizwa virusi vya UKIMWI pic.twitter.com/2K8aChw3q2
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#HabariLEO Serikali imesema mifuko ya hifadhi za jamii nchini, iko madhubuti na ina uwezo wa kustawi hadi kufikia mwaka 2075 na 2085 pic.twitter.com/wGh2Ozug0w
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#HabariLEO Polisi Morogoro imewakamata watu wawili wakiwa na nyara mbalimbali za serikali ikiwemo magamba 42 ya kakakuona ya bil 1.4 pic.twitter.com/bQOE3YvRuJ
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#JamboLEO Kisa cha bi harusi kutelekezwa kanisani Mbeya imeelezwa ni baada ya kubainika kuendeleza uhusiano na mzazi mwenzake pic.twitter.com/lDQgYO8gjS
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#MTANZANIA Mchezaji klabu ya Boca Juniors, Tevez anatarajiwa kutikisa dunia kwa kuwa mchezaji anayeongoza kulipwa mshahara mkubwa ktk soka pic.twitter.com/Us3WtdhG4V
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#MTANZANIA Cristiano Ronaldo hataki kuvaa viatu vyeusi uwanjani, anapenda viatu ambavyo vitakuwa vinaonekanana na hata mtu ambaye yuko mbali pic.twitter.com/DI4vtwn7A3
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#UHURU Imeelezwa kuwa kiwango cha unywaji pombe K'ndoni DSM, kimepungua kwa 20%, kutoka 48% mwaka 2014 hadi asilimia 28 mwaka huu pic.twitter.com/gelWIdmoXv
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#NIPASHE Imebainika kuna watu wanawaliza madereva kwa kuwatoza fedha barabarani huku wakijifanya kuwa madalali rasmi walioteuliwa na TRA pic.twitter.com/BW7kYl43xi
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#NIPASHE Waziri Lukuvi ameiagiza NHC Kigoma kujenga nyumba zinazoweza kutumiwa na wafanyabiashara wa kipato cha chini wakiwamo wamachinga pic.twitter.com/aVBSz0QY1H
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#NIPASHE Mgomo ulioanza juzi kwa wachezaji wa Yanga umeendelea tena jana kwa kile kilichoelezwa kushinikiza uongozi kuwalipa mishahara yao pic.twitter.com/1ZfxEEpmDJ
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
#NIPASHE Kiungo wa Yanga, Niyonzima amesema mbinu za kocha wao Lwandamina zitawafanya wasishikike baada ya siku chache kuanzia sasa pic.twitter.com/XaIvPzTTbp
— millardayo (@millardayo) December 21, 2016
AyoTVMAGAZETI: Madalali feki wanavyoliza watu kwa kivuli cha TRA, Askofu ‘mpiga dili’ mbaroni, Bonyeza play hapa chini
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE