Duniani

PICHA 11: List ya madaraja ambayo juu ni msitu chini magari

on

Tumezoea kuona madaraja ambayo magari hupita chini na juu na pia madaraja ambayo chini huwa ni maji, leo nimekutana na na hii list ya madaraja ambayo juu yana misitu na wanyama wanapita na chini ni barabara ya magari kupita.

Madaraja haya yametengenezwa kwenye njia barabara ambazo pande zote mbili zina msitu ili iwe rahisi kwa viumbe vinavyoishi kwenye misitu hiyo kuvuka upande wa pili, madaraja hayo ambayo yapo kwenye nchi kama Netherlands, Canada, German , Marekani na Ubeligiji

Madaraja haya yanafahamika kama ‘Animal Bridges’ au ‘Eco Bridges’ kwasababu ya uoto wake wa asili na hifadhi ya wanyama wa porini.

Unaweza kuzitazama picha nimekuwekea hapa chini

animal-bridge-wildlife-crossing-overpass-3

i-78-new-jersey-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass-1

Daraja la Interstate 78, Wachtung Reservation, New Jersey, USA

near-keechelus-lake-washington-usa-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja la Near Keechelus Lake, Washington, USA (rendering, target 2014)

the-borkeld-netherlands-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja la The Borkeld, The Netherlands

montana-usa-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja la Flathead Indian Reservation, Montana, USA

a50-netherlands-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja la Highway A50 in The Netherlands

Ecoduct Kikbeek over de E314.

Daraja la E314 in Belgium

scotch-plains-new-jersey-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja la Scotch Plains, New Jersey, USA

b38-birkenau-germany-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja la B38 – Birkenau, Germany

ecoduct-in-the-netherlands-animal-bridge-overpass-wildlife-crossing

Daraja la The Netherlands

banff-national-park-ablerta-canada-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass

Daraja ya hifadhi ya Banff National Park, Alberta, Canada

banff-national-park-alberta-animal-bridge-overpass-wildlife-crossing

Daraja la hifadhi ya Banff National Park, Alberta, Canada

VIDEO: Hali ilivyo stendi ya Ubungo DSM msimu wa sikukuu ikilinganishwa na kipindi cha nyuma, Bonyeza Play kutazama

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments