Mix

VIDEO: Hussen Bashe alivyowasili Mkutano wa CCM, ameulizwa kuhusu kushikiliwa na polisi

on

Baada ya taarifa za jana kusambaa zikidai wajumbe wawili wa halmashauri kuu Taifa ‘nec’  na mbunge mmoja akiwemo mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe wanahojiwa na jeshi la polisi Dodoma kwa madai ya kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma.

Leo March 12 2017 nje ya ukumbi wa CCM Hussein Bashe ameonekana akiwasili kwenye ukumbi huo kwa ajili ya mkutano maalumu wa CCM na akafanyiwa mahaojiano na Azam TV na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu kushikiliwa na polisi na amesema yeye sio msemaji bali katibu mkuu atazungumza yote, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Vigogo wa CCM waliotumbuliwa na kamati iliyoongozwa na Rais Magufuli, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments