Baada ya kampuni ya Vodacom kuhama kwenye majengo waliyokuwa wanayatumia kama ofisi eneo la mlimani City Dar es salaam sasa unaambiwa vifaa mbalimbali vilivyokuwa vikitumika katika ofisi hizo wameamua kuziuza kwa mnada kupitia kampuni ya udalalali ya Yono.
Ayo TV na millardayo.com zimempata mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya udalali ya Yono, Scolastica Kivera ambapo amesema mali hizo zina zaidi ya thamani ya Tsh BILIONI mbili.
Mnada huo unaambiwa utafanyika eneo hilo siku ya Jumanne September 5 2017 ambapo mali hizo zinajumuisha samani mbalimbali za ofisi. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama
Ulikosa hii ya nyumba za Nyumba za kifahari za Lugumi zinazopigwa Mnada, Bonyeza play hapa chini kutazama
https://www.youtube.com/watch?v=bytmiJB9UO8