AyoTV

VIDEO: Mbunge Lema ataja sababu za kuhudhuria mkutano wa ACT Wazalendo leo

on

Leo March 25 2017 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ‘CHADEMA’ ameungana na chama cha ACT Wazalendo kwenye mkutano mkuu wa kidemokrasia wa miaka 50 ya Azimio la Arusha na alipopata nafasi ya kuongea ameeleza sababu za yeye kuhudhuria mkutano huo. Bonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: “Naamini safari hii sio Wabunge wa CHADEMA peke yake” – Mnyika, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments