Binafsi siko tayari kuona unapitwa na kitu chochote ambacho kinanifikia iwe ni usiku au mchana,kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa nakupa nafasi ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia kipindi cha Power Breakfast,hapa yanasomwa na PJ.
88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.