Magazeti

Hizi ni dakika 18 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo.

on

on2Zitumie dakika hizi 18 mtu wangu kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za Magazeti kupitia Power Breakfast,uchambuzi huu wa Magazeti umefanywa na Gerald Hando pia utakisikkia alichokizungumza Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda alipoenda kuwatembelea wakulima na wafugaji wa Kiteto sikiliza kupitia 96.0 Clouds Fm Tanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments