Duniani

VIDEO: Simu ya Rais yatoa kelele za watu wakifanya mapenzi mahakamani

on

Moja ya habari ambazo zimechukua headlines kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ni pamoja na hii inayomhusu Rais wa Bolvia Evo Morales.

picha

Rais Evo Morales akiwa mahakamani kwenye kikao pamoja na wanasheria wa kimataifa alianza kuchezea simu yake ambapo ghafla zilisikika sauti za watu wakifanya mapenzi kwenye simu yake. Bonyeza play hapa chini kutazama

AyoTVMAGAZETI: Nyoka wa ajabu afa na mtu wake, Majalada kesi 230 kutikisa vigogo, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments