Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo March 30 2017 imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter Lijualikali baada ya kukubali kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu.
Nje ya Mahakama hiyo wazazi wa Mbunge huyo walipata nafasi ya kuzungumza. Bonyeza play hapa chini kuitazama
VIDEO: Wakili kaeleza sababu za Mbunge Lijualikali kuachiwa huru, Bonyeza play hapa chini kuitazama