Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam March 30 2017 imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter Lijualikali baada ya kukubali kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu.
Mmoja wa mawakili waliokuwa wakisimamia rufaa ya Mbunge Lijualikali, Fred Kiwelo amesema sababu mojawapo iliyopelekea kuachiwa huru ni hati ya mashtaka kuwa na mapungufu ambapo kosa ambalo alikuwa amehukumiwa nalo limetofautiana na maelezo ambayo amesomewa.
Bonyeza play hapa chini kuitazama.
VIDEO: Mbunge wa kilombero alivyohoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi, Bonyeza play hapa chini kuitazama