Muda huu kutoka Kanisa la KKKT Usharika wa Mbezi Beach,Dar es salaam ambapo itafungwa ndoa ya Msanii Billnass na Nandy, tayari Billnass ameshafika hapa Kanisani.