Top Stories

CHADEMA Kusini yafunguka uchaguzi wa Udiwani

on

CHADEMA Kanda ya Kusini kupitia kwa Katibu wake Filbert Ngatunga imesema walianza kuona dalili za uchaguzi kwenda vibaya wakati wa mchakato wa mawakala baada ya kuambiwa orodha ya mawakala ilitakiwa iwe kama idadi ya vituo vya kupigia kura.

Alizungumza na Ayo TV na millardayo Ngatunga amesema uchaguzi haukwenda kama ulivyotarajiwa na kuwa uligubikwa na vurugu katika baadhi ya maeneo huku wafuasi wao wakijeruhiwa.

BREAKING: Kauli ya CCM kuhusu uchaguzi mdogo wa udiwani uliokamilika

Soma na hizi

Tupia Comments