Siku ya leo March 1, 2018 Muigizaji wa Bongomovie na mwanamitindo Jacqueline Wolper ame-post kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuuliza swali kwa Waziri Shonza aliyewahi kupiga marufuku wasanii wanaovaa nguo nusu utupu na ku-post picha zao kwenye mitandao ya kijamii.
Wolper ambaye aliandika ujumbe katika ukurasa wake kisha baadae kuufuta aliandika hivi..>>>“Haki ya ukweli yule kiongozi wa kukomesha vichupi yupo wapi mbona bado tunaona makalio Insta au ndo sanaa every where me I Wonder mpaka jasho la damu linanitoka chaaa.. #akunaliyenihucknaulizaswali” – Wolper
‘Quick Rocka hanipangii cha kufanya, ananisikiliza ninachomwambia’
“Sijamuibia Timbulo wimbo, mimi ndie Mmiliki” -Abdukiba