Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemuondoa madarakani Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mkoa wa Ruvuma, Seif Mgonja kwa kosa la kutogawa kwa wananchi Namba za Utambulisho wa Taifa (NIN) 14,493 licha ya kuzalishwa na Makao Makuu na kuletewa ofisini kwake Mjini Songea.
ASKARI ALIEZAMA MOTONI NA MATUKIO HATARI “DAR INGEKUFA, NIMEJITOA KAFARA, NILIOKOTA JICHO, UBONGO”