Top Stories

NAIROBI HOSPITAL: Tundu Lissu aonyesha uso wa tabasamu

on

Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu amemtembelea Hospitali alikolazwa Mbunge na Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi Dodoma ambapo baada ya kufika, ametueleza hali ya Tundu Lissu pamoja na anachohitaji Watanzania wafanye.

Japo hakuwa na uhakika kama Madaktari wangeruhusu kwenda kumsalimu Tundu Lissu, ruhusa ilitoka baadae ambapo baada ya kumuona na kuagana nae, Nyalandu amesema yafuatayo >>> “ukweli ni kwamba ameumizwa vibaya, Imeelezwa Madaktari wanaendelea na hatua kadhaa za matibabu, wakiwa wameanza kwa kumuimarisha ili kuufanya mwili uweze kumudu hatua zaidi za utibabu anazopaswa kufanyiwa

Mengine yote aliyoyasema Nyalandu unaweza kuyafahamu kwa kubonyeza play hapa chini….

BREAKING NEWS: Nyumba ya Zitto Kabwe ilivyoteketea kwa moto, bonyeza play hapa chini kutazama

TUNDU LISSU ASIMULIA: Anavyofatiliwa na gari asilolijua…. bonyeza play hapa chini kumtazama

HUTAKI KUPITWA??? Kama una simu ya ANDROID jiunge na APP MPYA ya ‘millardayo‘ kwa kubonyeza HAPA

HUTAKI KUPITWA NA BREAKING NEWS??? Jiunge na Youtube, Twitter, Instagram na Facebook za ‘millardayo‘ kwa kubonyeza hapa >>> Youtube HAPA, Twitter HAPA, Instagram HAPA, Facebook HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments