Top Stories

Mkuu wa Wilaya Jokate alivyoingia RUVU, shangwe lote lake (+video)

on

Ni Agosti 22, 2018 ambapo Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo alikuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Ruvu Shooting dhidi ya Ndanda FC ambapo mchezo ulimalizika Ndanda FC 1 Ruvu Shooting hawakupata goli.

MACHOZI: Rais Magufuli akimuongoza Mama yake kuaga Mwili wa Monica

Soma na hizi

Tupia Comments