Video Mpya

VideoMPYA: Marioo kwenye nyingine tena inaitwa ‘Ado’ kashirikishwa na Wini

on

Karibu kuitazama video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji Wini aliyemshirikisha mkali Marioo, wimbo unaitwa ‘Ado’. PLAY hapa chini kuitazama video kisha usisahau kumuachia komenti yako hapo chini.

VIDEO: MAPENZI MOTO BABU SEYA NA MKE WAKE WAKIIMBA PAMOJA KWENYE HARUSI YAO

Soma na hizi

Tupia Comments