Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Tembo walivyovamia na kubomoa nyumba 39 na kula mahindi gunia 30 (+video)

on

Nyumba thelathini na Ttisa katika Vijiji vya Longalonhiga, Matale na Mwasengela Wilayani Meatu Mkoani Simiyu zimebomolewa na tembo waliovamia makazi wakitafuta chakula na kula mahindi yaliyokuwa yamehifadhiwa kwenye maghala.

Tembo hao wanasemekana kubomoa nyumba na kula mahindi yanayokadiriwa kuwa zaidi ya magunia thelathini.

NAPE ATINGA KWA MIGUU IKULU KUOMBA ASAMEHEWE “SINA AMANI, NAKOSA USINGIZI “

Soma na hizi

Tupia Comments