Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Engineer Hamad Masauni amezungumza katika msiba wa Mwanafunzi wa Chuo cha Kampala alieuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali usiku wa Jumapili iliyopita ambapoa amewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mkoa DSM kuhakikisha wanawakamata watuhumiwa waliohusika.
MAUAJI YA MWANACHUO WA KAMPALA: MAMBOSASA ATOA MAAGIZO “LAZIMA TUTAJIBU”